Kawe

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kawe
Remove ads

Kawe ni kata ya Wilaya ya Kinondoni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 14121.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Thumb
Boti huko Kawe.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 67,675 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 67,115 waishio humo[2].

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads