Khatumo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Khatumo (kwa Kisomali: Dowladda Khatumo ee Soomaaliya, Dola la Khatumo katika Somalia) ni jimbo la kujitegema la Somalia.

Jimbo hilo liko kaskazini-mashariki mwa Somalia, kwenye ncha ya Pembe la Afrika. [1]

Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads