Kichujio
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Katika utarakilishi na lugha ya programu, kichujio (kwa Kiingereza: filter) ni fomula saidizi inayoamrisha orodha ili kuumbwa muundo wa data mpya.
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |

Mfano
Kwa Python mfano wa kichujio ni[1] :
# Orodha wa herufi
herufi = ['a', 'b', 'd', 'e', 'i', 'j', 'o']
# fomula saidizi inayochuja vokali
def chujaVokali(herufi):
vokali = ['a', 'e', 'i', 'o', 'u']
if(vokali in herufi):
return True
else:
return False
chujwaVokali = filter(chujaVokali, herufi)
print('Vokali zichujwa ni:')
for vokali in chujwaVokali:
print(vokali)
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads