Kidole cha kati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kidole cha kati (pia: kikubwa, kirefu) ni kidole cha tatu mkononi. Kiko kati ya kidole cha shahada na kidole cha kati cha kando. Kwa watu walio wengi sana ni kidole kirefu mkononi.


1 Kidole gumba, 2 Kidole cha shahada,
3 Kidole kirefu, 4 Kidole cha pete, 5 Kidole cha mwisho
Katika utamaduni mbalimbali ni mwiko kabisa kuonyesha kidole hiki kunatumiwa kwa kusudi la kutukana na kutusi. Lakini kwa wengine hakina maana mabaya hivyo kidole kinaweza kuwa chanzo cha kutoelewana vibaya.
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads