Screen Actors Guild Awards
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Screen Actors Guild Awards ni jina la kutaja tuzo zinazotolewa kila mwaka na Screen Actors Guild (SAG) kutambulisha au kupambanua kazi zilizofanywa na wanachama wake (yaani, hutolewa kwa ajili ya wanachama wa SAG tu, basi). Kijisanamu kinachotolewa, kinamwonesha mwanaume aliye-mtupu kashikilia visanamu viwili - kimoja cha kuchekesha na kingine cha kusikitisha, kinaitwa Actor.[1] Kina urefu wa inchi 16, uzani wa ratili 12, na ni kalibu ya shaba nzito.
SAG Awards imekuwa moja kati ya sherehe kubwa za ugawaji wa tuzo huko mjini Hollywood tangu mwaka wa 1995.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads