Kilakala

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kwa makala ya Kilakala ya Dar es Salaam, tazama: Kilakala (Temeke)

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Kilakala ni kata ya Wilaya ya Morogoro Mjini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye postikodi namba 67110.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 21,758 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 18,345 waishio humo.[2]

Remove ads

Changamoto za maji katika kata hii

Katika kata ya Kilakala moja kati ya vikwazo/changamoto ni upungufu wa maji. Tatizo hili bado halijatatuliwa kwa sababu ya wakazi wa kata hiyo wanaoendelea kuharibu vyanzo vya maji. Kitu kikubwa kinachohitajika ni ulinzi dhidi ya wale wanaoharibu vyanzo vya maji.

Michezo

Katika sekta ya michezo katika eneo la Kilakala bado hali hairidhishi kwa hiyo wanahitajika walimu wenye ujuzi wa hali ya juu ili kuendeleza Taifa katika sekta hii.

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads