Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kilimanjaro International Airport - KIA) unahudumia eneo la mlima Kilimanjaro pamoja na miji ya Moshi na Arusha katika Tanzania ya kaskazini. .
Ni uwanja mdogo unaofikiwa zaidi na ndege za nchini Tanzania. Makampuni ya kimataifa yanayohudumia KIA ni hasa KLM kutoka Amsterdam, Ethiopian Airlines kutoka Addis Ababa, Kenya Airways, Airkenya Express, Qatar Airways, Condor Flugdienst, RwandAir na Turkish Airlines. kuanzia mwaka 1980
Mwaka 2004 abiria 294.750 walitumia uwanja huu. Hivyo ulikuwa uwanja wa ndege wa pili katika Tanzania baada ya uwanja wa Dar es Salaam.
Remove ads
Makampuni ya ndege na vifiko
- Airkenya Express (Nairobi)
- Air Uganda (Entebbe)
- Condor Flugdienst (Frankfurt, Mombasa)
- Emirates (Dubai)
- Ethiopian Airlines (Addis Ababa, Dar es Salaam, Mombasa, Zanzibar)
- Fastjet (Dar es Salaam)
- Fly-Sax (Nairobi)
- Kenya Airways (Nairobi)
- KLM Royal Dutch Airlines (Amsterdam, Dar es Salaam, Kigali)
- Precision Air (Dar es Salaam, Mwanza, Nairobi, Zanzibar)
- Qatar Airways (Dar es Salaam, Doha)
- Regional Air Services (Tanzania) (Arusha)
- RwandAir (Dar es Salaam, Kigali)
- Safarilink (Nairobi)
- Turkish Airlines (Istanbul, Mombasa)
Remove ads
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads