Ethiopian Airlines

From Wikipedia, the free encyclopedia

Ethiopian Airlines
Remove ads

Ethiopian Airlines ni kampuni ya ndege iliyo na makao yake makuu kwenye uwanja wa ndege wa Bole mjini Addis Ababa.[2]

Ukweli wa haraka IATA ET, ICAO ETH ...

Ndiyo kuu nchini Ethiopia, ikisafirisha hadi zaidi ya miji 50 kote duniani.

Remove ads

Historia

Thumb
Ndege ya Ethiopian Airlines Boeing 757-200 kwenye uwanja wa ndege wa London Heathrow (1998)

Ethiopian Airlines ilianzishwa na Haile Selassie mnamo 29 Desemba 1945. Ingawa ilitegemea rubani na wafanyakazi wa kutoka Marekani, baada ya miaka 25 ilianza kuajiri wafanyakazi wa kutoka Ethiopia.

Miji inayosafiria

Afrika

Remove ads

Asia

Thumb
Nddege ya Ethiopian Airlines Boeing 757-200 ikishuka kwenye uwanja wa ndege wa London Heathrow (2009)
Thumb
Ethiopian Airlines Boeing 767-300ER ikishuka kwenye uwanja wa ndege wa London Heathrow (2006)
Thumb
Ethiopian Airlines Fokker 50 ndani ya Lalibela Airport, nchini Ethiopia. (2006)
Remove ads

Uropa

Amerika Kaskazini

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads