Kinorwei
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kinorwei (Kinorwei: norsk) ni lugha ya Kijerumaniki ya Kaskazini katika jamii ya lugha za Kihindi-Kiulaya.
Remove ads
Kinorwei kinasemwa na watu 4,700,000 hivi, na ni lugha rasmi nchini Norwei.
Kinorwei, Kiswidi na Kidenmark vinavyoitwa lugha za Skandinavia ya bara vinahusiana sana.
Kinorwei kina insha rasmi mbili: bokmål na nynorsk.
Remove ads
Viungo vya nje
- makala za OLAC kuhusu Kinorwei
- Kinorwei katika tovuti ya Multitree
- lugha ya Kinorwei katika Glottolog
- lugha ya Kinorwei katika Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinorwei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads