Skandinavia

From Wikipedia, the free encyclopedia

Skandinavia
Remove ads

Skandinavia ni eneo la Ulaya ya Kaskazini. Kwa kawaida neno linataja nchi tano za Norwei, Uswidi, Udani, Ufini na Iceland. Kwa maana nyingine "Skandinavia" ni nchi mbili za rasi ya Skandinavia pekee, yaani Norwei na Uswidi. Lugha za Skandinavia ziko karibu sana; zote ni Kijerumaniki ya Kaskazini isipokuwa Kifini ambacho ni lugha yenye asili ya Asia.

Thumb
Bendera za nchi za Skandinavia (Ufini, Norwei, Iceland, Uswidi na Denmark (imefunikwa)
Thumb
Picha ya angani ya Skandinavia wakati wa majira ya baridi - rangi nyeupe ni theluji na barafu zinazofunika nchi yote pamoja na sehemu za bahari.
Remove ads

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Skandinavia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads