Kinyerezi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kinyerezi ni kata ya Wilaya ya Ilala katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 12116.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 62,480 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,811 waishio humo.[2]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads