Kirsten Prout

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kirsten Prout (amezaliwa Septemba 28, 1990) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Kanada ambaye kazaliwa mjini Vancouver, British Columbia. Alipata kucheza katika mfululizo wa TV ya ABC Family, Kyle XY alicheza kama Amanda Bloom. Vilevile anajulikana kwa kucheza kama Charlotte "Char" Chamberlin kwenye igizo la vijana la ABC Family,  The Lying Game na Abby kwenye Elektra.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Utaifa ...
Remove ads

Maisha ya wali

Baada ya kumaliza elimu ya juu, Prout alijiunga na Chuo Kikuu cha McGill kwa mwaka mmoja, ambapo alijikita zaidi katika masuala ya fasihi katika Kiingereza.[1] Kiangazi kilichofuata alijiandikisha katika miradi mipya miwili, na hatimaye kuacha kusoma chuo kikuu.[1] Prout ana mdogo wake wa kike anaitwa Jennifer.[2]

Filmografia

Maelezo zaidi Mwaka, Jina ...
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads