Kisango

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kisango (au Kisangho) ni krioli ya Afrika ya Kati ambayo ni lugha kuu na lugha rasmi ya nchi hiyo.

Imetokana na Kingbandi cha Kaskazini, katika jamii ya lugha za Niger-Kongo. Hivyo ni krioli isiyotokana na lugha za Kizungu, ingawa imekopa maneno mengi kutoka Kifaransa.

Mwaka 1988 ilikuwa lugha mama ya watu 450,000, na lugha ya pili kwa 1,600,000. Inatumika pia katika sehemu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Chad.

Remove ads

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka
Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisango kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads