Kisarawe II

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kisarawe II ni kata ya Wilaya ya Kigamboni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 17104.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 31,160 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,263 waishio humo.[2]

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads