Kisisili

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kisisili
Remove ads

Kisisili (kwa lugha hiyo: Sicilianu) ni mojawapo kati ya Lugha za Kirumi, ingawa asilimia 20 za maneno yake yana asili ya Kigiriki na Kiarabu.

Thumb
Uchunguzi wa asili ya maneno 5,000 kutoka Dizionario etimologico siciliano iliyotungwa na Salvatore Giarrizzo:[1]
Kilatini 2.792 (55,84%)
Kigiriki 733 (14,66%)
Kihispania 664 (13,28%)
Aina za Kifaransa 318 (6,36%)
Kiarabu 303 (6,06%)
Kikatalunya 107 (2,14%)
Kiprovenza 83 (1,66%)

Ndiyo ya kwanza kuwa na fasihi katika ya lugha za Italia.

Hadi leo inatumiwa na watu milioni 5 hivi, hasa katika sehemu kubwa kabisa ya kisiwa cha Sicilia, lakini pia Italia Kusini na kokote walikohamia wenyeji wa sehemu hizo.

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads