Kiskoti

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kiskoti
Remove ads

Kwa lugha ya Kiselti, angalia makala ya Kigaeli cha Uskoti.

Thumb
Idadi ya wasemaji Kiskoti nchini Eire Kaskazini kwa mujibu wa sensa ya 2011.
Thumb
Idadi ya wasemaji Kiskoti nchini Uskoti kwa mujibu wa sensa ya 2011.

Kiskoti ni mojawapo ya lugha za Kianglia, kundi la lugha zinazofanana sana na Kiingereza hata kama ni lugha tofauti. Kama Kiingereza, Kiskoti ni lugha ya Kijerumaniki Magharibi, lakini Kiskoti husemwa hasa nchini Uskoti na kaskazini mwa Eire.[1]

Kiskoti ni tofauti na Kigaeli cha Uskoti, lugha ya Kiselti ambayo mara nyingi inachanganyika na Kiskoti. Pia ni tofauti na Kiingereza cha Uskoti, lahaja ya Kiingereza nchini Uskoti.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads