Kigaeli cha Uskoti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kigaeli cha Uskoti (kwa lugha hiyo: Gàidhlig) ni kati ya lugha za Kiselti, tawi la lugha za Kihindi-Kiulaya.[1]

Wanaoijua ni watu 60,000 hivi, hasa nchini Uskoti, lakini pia Kanada.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads