Kitaman

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kitaman ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wataman kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kitaman imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitaman iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitaman kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads