Kitengela
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kitengela ni mji wa kaunti ya Kajiado, Kenya, katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.

Wakati wa sensa ya mwaka 2009, mji ulikuwa na wakazi 58,167[1].
Kitengela ni kata ya Eneo bunge la Narok Mashariki[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads