Kituo cha reli Vienna Magharibi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kituo cha reli Vienna Magharibi, Kijerumani: Wien Westbahnhof, ni kituo kikubwa Vienna, Austria.

Eneo

Thumb
Nyumba ya kituo cha magharibi
Thumb
Jukwaa 6/7
Thumb
Treni za barabara kando ya kituo
Thumb
Usiku kituo
Thumb
Kituo cha treni za mjini ya mstari U3

Kituo ipo wilaya ya 15 (Rudolfsheim-Fünfhaus), kwenye mpaka ya wilaya ya 6 (Mariahilf) na 7 (Neubau). Njiani nne ya Barbara ya Gürtel na Barbara ya Mariahilf.

Huduma za treni

Mpaka kituo kikuu cha reli Vienna imefunguwa (kabla imekuwa kituo cha reli Vienna kusini), Vienna kituo cha magharibi imekuwa kama kituo kikuu na treni zote kutokea magharibi (Linz, Salzburg na Switzerland, Ufaransa, Ujerumani na nchi nyingine wamefika Kituo cha magharibi. Leo Kuna huduma za treni za masafa marefu ya kampuni Westbahn pia (Vienna - Linz - Salzburg).

Jina la Kituo, "Westbahnhof" sio sababu ipo magharibi wa Vienna, no sababu treki ya njia ya reli ya OEBB inaitawa Westbahn pia.

Leo pia kuna huduma za CJX5 (Cityjet Express) (Vienna - St. Poelten - Amstetten - St. Valentin, REX (Regional Express) na St. Poelten kituo kikuu na S50 treni za mkoani (S-Bahn) hadi Neulengbach.

Huduma za treni za masafa marefu leo kuna treni za Westbahn tu, zinaendeswa juu ya mstari ya njia ya reli inaitawa Westbahn pia, (Vienna kituo cha magharibi - Vienna Huetteldorf - St. Poelten - Linz - Voecklabruck - Salzburg.

Remove ads

Huduma za usafiri ya mjini

Treni za mjini

Kuna mistari ya treni za mjini mbili, U3 (Simmering - Erdberg - Stephan Platz - kituo cha reli magharibi - Ottakring) na U6 (Floridsdorf - Danube mpya - hospitalini kikuu ya Michelbeuern - kituo cha reli magharibi - kituo cha reli Meidling - Alterlaa - Siebenhirten.

Treni za barabara

Kuna huduma za treni za barabara ya mistari ya 5, 6, 9, 18, 52 na 60.

Vienna Airport Lines (VAL)

Mstari ya VAL1 Westbahnhof - Uwajani wa ndege wa Vienna Schwechat inaendeshwa.

Nightline

Mstari wa N6. Jukwaani la vituo vya treni za mjini kuna Mistari ya watu hawasione.

Usafiri nyingine

Mtaa wa Gelber, kando za kituo, kuna stop cha basi la masafa marefu pia.

Pia kuna fasiliti ya Bike and Ride mtaani wa Felber, Europaplatz (kuingia kikuu) na katikati za kituo na IKEA. Kuingia mtaani wa Felber kuna sehemu ya Kiss and Ride pia.

Viungo vya nje

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads