Kiuyu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kiuyu ilikuwa kata ya Wilaya ya Wete katika Mkoa wa Pemba Kaskazini, Tanzania.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,312 waishio humo. [1]
Tangu mwaka 2012 kata iligawiwa kuwa kata mbili za Kiuyu Kigongoni na Kiuyu Minungwini.
Remove ads
Historia
Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads