Kivule

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kivule ni kata ya wilaya ya Ilala katika mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 12117.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 88,273 [1].

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads