Wingu (mtandao)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Katika utarakilishi, Wingu au Wingu wa utarakilishi (kwa Kiingereza: cloud au cloud computing[1] ) ni kituo cha data kinachotumika ili kukusanya data za watumiaji wengi.

Unaitwa "Wingu" kwa sababu data hazitunzwi katika kifaa cha kutunzia binafsi cha watumiaji[2].
Mawingu yanaweza kuwa kwa kiasi kwa shirika moja (mawingu ya biashara[3][4]) au kupatikana kwa mashirika mengi (wingu la umma).
Remove ads
Marejeo
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads