Konstantino wa Gap
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Konstantino wa Gap (karne ya 5[1][2][3] au ya 6[4]) alikuwa askofu wa nne wa Gap, leo nchini Ufaransa[5].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads