Konya

From Wikipedia, the free encyclopedia

Konya
Remove ads

Konya (kwa Kituruki: قونیه; pia Koniah, Konieh, Konia, na Qunia; kihistoria pia unajulikana kama Ikonio kutoka Kilatini Iconium na Kigiriki: Ἰκόνιον Ikónion) ni mji uliopo nchini Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Konya.

Thumb
Mji wa Konya

Mji huo uko katikati ya mkoa wa Anatolia, mita 1,200 juu ya usawa wa bahari.

Mji una wakazi wapatao 1,412,343 (kwa hesabu ya mwaka wa 2007).

Mtume Paulo alihubiri wake huko walau katika safari yake ya kwanza ya umisionari.

Remove ads

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads