Konyagi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Konyagi ni kinywaji kikali cha kileo kinachotengenezwa nchini Tanzania. Inapatikana kwa kiwango cha alikoholi cha asilimia 35 [1].

Jina lake limetokana na neno la Kifaransa "cognac" lakini, tofauti na hiyo, konyagi hutengenezwa kwa molasi ya miwa inayopatikana wakati wa kutengeneza sukari. Kwa hiyo ina msingi sawa na kileo cha rum ya visiwa vya Karibi lakini ladha si vile.
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads