Kunduchi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kunduchi ni kata ya Wilaya ya Kinondoni katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 14122.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 89,814 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 72,927 waishio humo.[2]
Remove ads
Historia
Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi.
Marejeo
Tazama pia
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads