Kurasini
Kata ndani ya Jiji la Dar es salaam From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kurasini ni kata ya Wilaya ya Temeke katika Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 15109.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 8,852 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 34,501 waishio humo.[2]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads