Kwanzanians

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kwanzanians
Remove ads

Kwanzanians ni jina la albamu ya tatu kutoka kwa kundi zima muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Kwanza Unit. Alabmu ilitoka mwaka 2000 chini ya lebo ya Madunia Foundation - Rumba Kali African Hip Hop (RAHH). Nyimbo kali kutoka katika albamu ni pamoja na Msafiri na Runtingz. [1]

Ukweli wa haraka Studio album ya Kwanza Unit, Imetolewa ...
Remove ads

Orodha ya nyimbo

  1. Intro
  2. Kwanzanianz
  3. Inahouse
  4. Interlude
  5. Beyond Belief
  6. Interlude
  7. Msafiri
  8. Friction
  9. Interlude
  10. Man To Man
  11. Check Navyoflow
  12. Interlude
  13. Beyond Belief (Remix)
  14. Acha
  15. Interlude
  16. Kamari
  17. Yippy Yapping
  18. Kivingine
  19. Interlude
  20. Nakuja
  21. Runtingz
  22. So Why
  23. Outtro
  24. Beyond Belief (Posse Remix)
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads