Kwinidi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kwinidi (500 hivi - 578 hivi) alikuwa askofu wa 8 wa Vaison-la-Romaine, leo nchini Ufaransa, kuanzia mwaka 556 [1].

Kabla ya hapo alikuwa mkaapweke na shemasi.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Februari[2].
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads