Lübeck
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lübeck ni mji wa jimbo la Schleswig-Holstein nchini Ujerumani.


Mji uko kando ya mto Trave karibu na pwani ya Baltiki.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 210,892.
Remove ads
Tazama pia
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lübeck kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads