Schleswig-Holstein

From Wikipedia, the free encyclopedia

Schleswig-Holstein
Remove ads

Schleswig-Holstein ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 2,8 kwenye eneo la 15,763 km². Mji mkuu ni Kiel. Waziri mkuu ni Torsten Albig (SPD).

Thumb
Kiel, Schleswig-Holstein
Thumb
Mahali pa Schleswig-Holstein katika Ujerumani
Thumb
bendera ya Schleswig-Holstein

Jiografia

Schleswig-Holstein ni sehemu ya kaskazini kabisa ya Ujerumani ikipakana na Denmark upande wa kaskazini. Kwa kusini imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Mecklenburg-Pomerini, Saksonia ya chini na Hamburg. Upande wa magharibi kuna pwani la Bahari ya Kaskazini lenye visiwa vingi na upande wa mashariki iko pwani la Bahari Baltiki.

Miji mikubwa ni pamoja na Kiel na Lübeck.

Elbe na Eider ni mito muhimu zaidi.

Remove ads

Picha za Schleswig-Holstein

Tovuti za Nje

Ukweli wa haraka
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Schleswig-Holstein kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Maelezo zaidi Majimbo ya Ujerumani ...
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads