LGBT
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
LGBT (au LGBTQIA+) ni kifupisho cha Kiingereza kinachojumlisha watu wanaojiona au kujiita wasagaji, mashoga, wapenzi wa jinsia mbili, wabadili jinsia, kuchu, mahuntha, na wasio na nyege.

Watu hao pengine wanabaguliwa.[1]

Remove ads
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads