La Cristiada

From Wikipedia, the free encyclopedia

La Cristiada
Remove ads

La Cristiada ni jina la Kihispania la vita vya Cristeros (1926-1929) vilivyotokea nchini Meksiko kati ya wakulima Wakatoliki na serikali ya nchi iliyotaka kutekeleza sheria dhidi ya uhuru wa dini.

Thumb
Ramani ya Meksiko ikionyesha wapi vita vya Cristeros vilitokea zaidi.
Thumb
Nakala ya bendera ya Cristeros ikienzi "Kristo Mfalme" na "Bikira Maria wa Guadalupe".

Chinichini maaskofu waliunga mkono juhudi za waumini wao hata walipotumia silaha kutetea haki yao ya kuabudu kwa pamoja. Marekani ilifanya kazi ya upatanisho na mwishoni maaskofu walikubaliwa na serikali idhini kadhaa, hivyo vita vikaisha.

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads