Lady Gaga

From Wikipedia, the free encyclopedia

Lady Gaga
Remove ads

Stefani Joanne Angelina Germanotta[6] (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Lady Gaga; alizaliwa 28 Machi 1986) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za pop dansi kutoka nchini Marekani.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...

Gaga, alizaliwa mjini Yonkers, New York na kukulia mjini Manhattan, ambako alijiunga na shule ya kulipia ya Convent of the Sacred Heart halafu akaenda zake katika Chuo Kikuu cha New York (Tisch School of the Arts).

Akiwa na umri wa miaka 20, alianza kufanya kazi na Interscope Records akiwa kama mtunzi wa nyimbo, akatunga nyimbo kadhaa kwa ajili ya kundi la muziki wa pop la Pussycat Dolls. Gaga, ana athira kubwa kabisa na wanamuziki wa rock kama vile David Bowie na timu nzima ya bendi ya rock maarufu ya Queen na vilevile waimbaji wa muziki wa pop wa miaka ya 1980 kama vile Madonna na Michael Jackson.

Kuiingia kwake kwenye sanaa kumesababishwa na mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi za muziki maarufu kama Akon, aliyegundua ya kwamba, Gaga, pia ana kipaji cha sauti, na akaingia naye mkataba wa kurekodi kwenye studio yake ya Kon Live Distribution, na kisha baadaye aanze kufanya kazi zake mwenyewe kwa ajili ya albamu yake ya kwanza.

Mnamo mwaka wa 2008, Gaga ametoa albamu yake ya kwanza iitwayo The Fame, ambamo alielezea kwamba "namna gani mtu anavyoweza kujsikia kwa kuwa maarfu". Leo hii, albamu imetoa vibao vyake vikali kadhaa vilivyomaarufu kama vile "Just Dance" na "Poker Face ", ambayo awali ilipewa Tuzo ya Grammy kama wimbo bora wa kudansi - katika ugawaji wa 51 wa Tuzo hizo za Grammy.

Remove ads

Wasifu

Maisha ya awali

Gaga alizaliwa tarehe 20 Machi 1986 mjini Yonkers, New York na baba (kabaila wa mtandao) na mama (mfanyabiashara mwenzi wa baba), ambao wote ni Waitalia.[7][8] Akiwa mtoto, alijiunga na Shule ya Kikatoliki ya Convent of the Sacred Heart.[9] Alianza kujifunza piano kwa kusikia tanguu akiwa na umri wa miaka minne, na akaja kuandika noti zake za piano kwa mara ya kwanza akiwa na umiri wa 13 na akaanza kutumbuiza kwenye matamasha madogomadogo akiwa na umri wa miaka 14.

Akiwa na umri wa miaka kumi na saba, Gaga akawa mmoja kati ya watu ishirini wa dunia nzima kupata elimu ya muziki ya chuo kikuu cha New York cha Tisch School of the Arts. Aliboresha akili zake za kuandika kwa njia ya kuandika insha na ripoti kuhusu mada kama sanaa, dini, na siasa na jamii.[10]

Alitoka katika nyumba aliokuwa akiishi na wazazi wake,[11] na kuanza kujirusha mitaani, huku akiwa ana tumbuiza katika klabu za mitaani kwao na kisha baadaye akawa anafanya kazi na bendi ya Mackin Pulsifer na SGBand. Akajikuta akizungukwa na waimbaji kibao ambao wanaimba staili sawa na ile ya muziki wake yeye anaoimba, na ndipo alipoamua kufanya mtindo mkali kabisa kwa kutumia staili ya rock 'n roll huku kwa mbali anatia muziki wa pop.[12] Baba yake alishtushwa na kitendo cha mwanawe kuzurura mitaani na kujibwaga kwenye mabaa huku akionekana anafanya shoo na baadhi ya machangudoa wala unga na wale wacheza uchi kwenye baa za usiku. "Baba hakuweza kunitazama kwa miezi kadhaa" Gaga alikiri kwa jaribio lake la awali, na kusema: "Nilikuwa kwenye mkia wa mwiba, kwa hiyo ni vigumu kwa yeye — kuelewa yale.

Gaga alipata jina lake la kisanii pale mtayarishaji wa muziki Rob Fusari alipoifananisha staili ya sauti yake na hayati Freddie Mercury na kuchukua jina la 'Gaga' kutoka katika wimbo wa bendi ya Queen wa "Radio Ga-Ga". Fusari ndiyo aliyemsaidia Gaga kutunga vibao vyake vya awali, ambavyo vinajumuisha "Disco Heaven", "Dirty Ice Cream" na "Beautiful, Dirty, Rich".

Remove ads

Muziki

Albamu

Maelezo zaidi Jina, Maelezo ...

Nyimbo

Maelezo zaidi Nyimbo, Mwaka ...
Remove ads

Tuzo

AACTA Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Academy Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

ADL Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Alliance of Women Film Journalists

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

American Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

ARIA Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Bambi Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

BET Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Billboard Japan Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Billboard Latin Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Billboard.com Mid-Year Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Billboard Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Billboard Touring Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Billboard Women in Music

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

BMI Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Brit Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

British Academy Film Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

British LGBT Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

BT Digital Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Canadian Fragrance Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Capri Hollywood International Film Festival

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

CFDA Fashion Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Channel [V] Thailand Music Video Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Chicago Film Critics Association

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Clio Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Columbus Citizens Foundation

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Critics' Choice Movie Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Detroit Film Critics Society

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Do Something! Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Dorian Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Dublin Film Critics' Circle

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

ECHO Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Eleanor Roosevelt Legacy Committee

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Emma-gaala

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Emmy Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

ESKA Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Fangoria Chainsaw Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Fashion Los Angeles Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

FiFi Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Fryderyk

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Danish GAFFA Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Norwegian GAFFA Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Swedish GAFFA Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Georgia Film Critics Association

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

GLAAD Media Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Glamour Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Global Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Gold Derby Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Golden Globe Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Golden Raspberry Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Gracie Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Grammy Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Guinness World Records

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Hollywood Music in Media Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...
Remove ads

Houston Film Critics Society

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

iHeartRadio Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

International Dance Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Jane Ortner Education Award

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Japan Gold Disc Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Juno Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

LennonOno Grant for Peace

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Little Kids Rock Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Los Angeles Italia Film, Fashion and Art Fest

{Marejeo |- !scope="row"|2016 |"Til It Happens to You" |Song of the Year |style="background: #99FF99; color: black; vertical-align: middle; text-align: center; " class="yes table-yes2"|Ameshinda |style="text-align:center;"|[230] |}

Los Angeles Online Film Critics Society

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Los Premios 40 Principales

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Meteor Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Miss Gay America

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

MOBO Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Los Premios MTV Latinoamérica

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

MTV Australia Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

MTV Europe Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

MTV Italian Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

MTV Millennial Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

MTV Movie & TV Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

MTV Video Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

MTV Video Music Awards Japan

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

MTV Video Music Brazil

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

MuchMusic Video Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

MYX Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

National Arts Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

National Board of Review Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

National Magazine Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

NewNowNext Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Nickelodeon Australian Kids' Choice Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Nickelodeon Kid's Choice Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

NME Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

NRJ Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

O Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Online Film Critics Society

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Patron of the Artists Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

People's Choice Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Pollstar Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Premios Oye!

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Q Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Radio Disney Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Rockbjörnen

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

San Diego Film Critics Society

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

San Francisco Film Critics Circle

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Satellite Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Screen Actors Guild Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Seattle Film Critics Society

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...
Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Shorty Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Songwriters Hall of Fame

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Space Shower Music Video Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

St. Louis Film Critics Association

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Stonewall Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Swiss Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

TEC Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Teen Choice Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Telehit Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

The Record of the Year

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

The Trevor Project Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

TMF Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

UK Music Video Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Washington D.C. Area Film Critics Association

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Webby Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Women Film Critics Circle

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

World Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...
Remove ads

YouTube Music Awards

Maelezo zaidi Mwaka, Kazi iliyoteuliwa ...

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads