Lahnstein
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lahnstein ni mji wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani ya Magharibi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 17.980.

Lahnstein ipo kando ya mistari miwili ya reli, mistari ya mashariki ya Rhine kuna vituo cha Niederlahnstein na Oberlahnstein, kuna huduma za mstari RB10 ya kampuni VIAS, (Neuwied - Koblenz - Wiesbaden - Frankfurt, kituoni cha Niederlahnstein kuna huduma za treni za kampuni DB Regio, sehemu Lahn-Eifel-Bahn (Giessen - Limburg - Diez - Koblenz - Mayen.
Remove ads
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lahnstein kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads