Mayen
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mayen ni mji wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani ya Magharibi. Idadi ya wakazi wake ni takriban 18,748.

Remove ads
Trafiki

Mayen inahudumiwa na treni za eneo za mistari wa RB23 (Limburg - Diez - Bad Ems - Koblenz - Andernach - Mayen na RB38 (Andernach - Mayen - Kaisersesch) ya Lahn-Eifel-Bahn ya DB Regio.
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mayen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads