Lami
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lami (kwa Kiingereza: asphalt au bitumen) ni aina ya petroli katika hali ya kiowevu au nusumango. Inapatikana katika uasilia (kama huko Trinidad na Tobago) lakini pia inaweza kutengenezwa viwandani.

Matumizi makuu (70%) ni ukamilishaji wa barabara.
Tanbihi
Vyanzo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads