Uasilia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Uasilia (kwa Kiingereza: nature, neno linatokana na lile la Kilatini natura ambalo linamaanisha "tabia ya kuzaliwa nayo" na lilikuwa tafsiri ya neno la Kigiriki φύσις, physis lililotumiwa na washairi na wanafalsafa wa kwanza.[1][2][3] ), maana yake ni ulimwengu ulivyokuwa kwa asili, kabla ya binadamu kuuathiri kwa utamaduni na hasa kwa ustaarabu wake, uliokuza teknolojia inayomwezesha kufanya mengi, mazuri na mabaya, pengine mambo yanayoleta faida ya haraka lakini yana madhara makubwa kwa siku za mbele.


Uasilia wote unasomwa kwa mpango na sayansi katika matawi yake yote.
Remove ads
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads