Laudo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Laudo (alifariki karne ya 6) alikuwa askofu wa Coutances, kaskazini mwa Ufaransa[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Septemba[2][3].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads