Lebuino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lebuino (kwa Kilatini Lebuinus; awali: Lebuin, Lebwin au Liafwin[e]; alifariki Deventer, Frisia, leo nchini Uholanzi, 775 hivi) alikuwa mmonaki Mbenedikto kutoka Northumbria (Uingereza) maarufu kwa umisionari wake kama padri katika Uholanzi na Ujerumani za leo akitangaza amani na wokovu katika Kristo kuanzia mwaka 754 hadi kifo chake[1][2].

Anaheshimiwa tangu zamani na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe 12 Novemba[3].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Marejeo mengine
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads