Leonardo Murialdo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Leonardo Murialdo (Torino, Italia, 26 Oktoba 1828 – Torino, 30 Machi 1900) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa Shirika la Mt. Yosefu kwa ajili ya watoto wa mitaani ili waweze kufahamu imani na upendo wa Kikristo[1].

Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 3 Novemba 1963 na mtakatifu tarehe 3 Mei 1970.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads