Libertino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Libertino (alifariki Triocala, Sicilia, Italia, karne ya 3) alikuwa askofu wa Agrigento ambaye anahesabiwa kuwa wa kwanza[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads