Lilian Nabora
Mratibu mkuu wa kampuni ya FASDO From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Lilian Nabora (alizaliwa tar.) ni mmoja wa wanaharakati wanawake wenye ushawishi nchini Tanzania na muasisi na mratibu mkuu wa kampuni ya FASDO.[1]
Remove ads
Wasifu
Lilian Nabora alizaliwa katika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Ni mmoja wa wafanyakazi katika ubalozi wa Botswana huko Brussels nchini Ubelgiji[2] akifanya kazi kwa muda wa ziada kama Msambazaji wa vifaa vya ofisi .
Lilian ni mmiliki, na mpiga picha wa Kampuni ya Creative Media, pia ni msanii wa grafiti.
Harakati
Mnamo mwaka 2008, Lilian aliamua kurudi sehemu alikozaliwa na kuhamasisha kundi la watu 20 kwa malengo ya kuelimisha na kusaidia vijana na watoto kutokana na umaskini na ugonjwa wa UKIMWI.
Mnano mwaka 2009 alifanikiwa kusajili taasisi ya Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO)[3].
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads