Limoges

From Wikipedia, the free encyclopedia

Limoges
Remove ads

Limoges ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Limousin. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 250,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 690-1410 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Thumb
Thumb
Ofisi za manispaa ya Limoges
Remove ads

Historia

Jiografia

Makazi ya Kijamii

Jengo lenye umbo la S katika eneo la Val de l'Aurence, lililojengwa katika miaka ya 1960, litabomolewa Septemba 2025, na kuathiri zaidi ya nyumba 300.[1]

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads