Live (albamu ya Usher)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Live ni albamu ya ukumbini ya msanii Usher. Albamu ilitolewa mnamo tar. 23 Machi 1999 na studio ya LaFace Records ikiwa imejumlisha vibao vyote mashuhuri vya Usher vya muda wote aliokuwa kwenye shughuli hizi za kimuziki. Tangu hapo ametunukiwa Dhahabu nchini Marekani, kwa kuuza kopi zaidi ya milioni 500,000.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
- "My Way"
- "Think of You"
- "Come Back"
- "Just Like Me - Lil' Kim"
- "Don't Be Cruel (Intro)"
- "Every Little Step"
- "Rock Wit'cha"
- "Roni"
- "Pianolude"
- "I Need Love" (LL Cool J Cover)
- "Tender Love" (Amyth Cover)
- "Bedtime"
- "Nice and Slow"
- "You Make Me Wanna"
- "My Way [JD's Remix]"
- "Nice and Slow [B-Rock's Basement Mix]"
- "You Make Me Wanna [Tuff & Jam Dance Mix]"
Viungo vya Nje
![]() |
Makala 1990s R&B/soul album-related bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads