LL Cool J
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
James Todd Smith (amezaliwa tar. 14 Januari 1968) ni rapa na mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama LL Cool J. LL Cool J inasimama kwa "Ladies Love Cool James".[1] Anajulikana sana kwa maballad yake ya kimahaba kama vile "I Need Love", "Around the Way Girl" na Hey Lover", vilevile kuanzisha kuanzisha hip-hop kama vile "I Can't Live Without My Radio", "I'm Bad", "The Boomin' System", na "Mama Said Knock You Out". Pia amepata kuonekana katika filamu kadha wa kadha. LL Cool J ni mmoja kati ya wasanii wachache wa hip hop wa zama zake kuweza kupata mafanikio makubwa katika zake za kurekodi kwa zaidi ya makumi mawili. Ametoa takriban albamu kumi na mbili na kompilesheni ya vibao vikali kadhaa mpaka sasa, na albamu yake ya mpya kuwa ya mwaka wa 2008,s Exit 13, ambayo ni ya mwisho kwa LL kufanya kazi na Def Jam Recordings. Kwa sasa anaishi mjini Manhasset, New York na watoto wake wa nne na mke wake.[2]
Remove ads
Maisha ya awali
Diskografia
- Radio (1985)
- Bigger and Deffer (1987)
- Walking with a Panther (1989)
- Mama Said Knock You Out (1990)
- 14 Shots to the Dome (1993)
- Mr. Smith (1995)
- Phenomenon (1997)
- G.O.A.T. (2000)
- 10 (2002)
- The DEFinition (2004)
- Todd Smith (2006)
- Exit 13 (2008)
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads