Live from SoHo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Live from SoHo ni albamu ya kwanza ya Taylor Swift iliyofanywa moja kwa moja wakati anatumbuiza katika ukumbi. Ilitolewa mnamo 15 Januari 2008 [1] ikiwa kama toleo kali la EP la iTunes. Ilirekodiwa katika Soho Apple Store mjini New York.
Remove ads
Orodha ya nyimbo
- "Umbrella" (Rihanna Cover) – 1:29
- "Our Song" (Taylor Swift) – 3:29
- "Teardrops on My Guitar" (Taylor Swift, Liz Rose) – 3:24
- "Should've Said No" (Taylor Swift) – 4:27
- "A Place in this World" (Taylor Swift, Robert Ellis Orrall, Angelo Petraglia) – 3:24
- "Mary's Song (Oh My My My)" (Taylor Swift, Liz Rose, Brian Dean Maher) – 3:47
- "Tim McGraw" (Taylor Swift, Liz Rose) – 4:00
- "Picture to Burn" (Taylor Swift, Liz Rose) – 3:33
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads