Lost Boyz Forever

From Wikipedia, the free encyclopedia

Lost Boyz Forever
Remove ads

Lost Boyz Forever ni albamu ya vibao mchanganyiko kutoka kwa kundi zima la muziki wa hip hop la The Lost Boyz. Mwanachama mmoja wa kundi aliuawa mnamo wa 1999 (Freaky Tah), na wanachama watatu waliobakia wakapagaranyika baada ya kutoka albamu yao ya LB IV Life. DJ Spigg Nice alihukumiwa kifungo baada ya kukutanika na kosa la kushiriki ujambazi wa benki, na kuwaacha Mr. Cheeks na Pretty Lou pekee.

Ukweli wa haraka Compilation album ya The Lost Boyz, Imetolewa ...

Albamu hii imekusanya vibao vikali kadhaa vya albamu za awali, ikiwa ni pamoja na kibao kama vile "Jeeps, Lex Coups, Bimaz & Benz" na "Renee".

Remove ads

Orodha ya nyimbo

Maelezo zaidi #, Jina ...
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads