Lotari wa Seez

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Lotari wa Seez (pia: Lother, Lotharie au Lohier; 685 - 15 Juni 756) alikuwa askofu wa 16 wa Seez, katika Ufaransa wa leo, hadi alipoamua kwenda kuishi upwekeni[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads